0
0
Mwaka 2020 inawezekana haukuwa poa sana kwa upande wako lakini kwa mwanadada @VanessaMdee unaweza kuwa ni mwaka wa kihistoria hasa kwenye upande wake wa mahusiano Ni mwaka ambao taswira ya nje inaonyesha dhahiri furaha kutawala moyoni mwake akiwa mikononi mwa mshkaji ambaye anamtaja kama mwanaume wa maisha yake (@rotimi), haikuishia hapo 2020 ikafungwa kwa bonge la step kimahusiano baada ya @rotimi kumvalisha pete ya uchumba. Kama wewe ni shabiki wa couple ya Vee & Rotimi, tarajia makubwa 2021 coz wawili hao hawaonyeshi kupoa hata kidogo, penzi linazidi kukolea siku hadi siku. Kupitia InstaLIVE ya @VanessaMdee na mdogo wake @Mimi_mvrs11, @Rotimi amefunguka kwa kusema kuwa sasa anawekeza nguvu zaidi kuhakikisha wanampata mtoto wao wa kwanza mwaka huu 2021. #CloudsDigitalUpdates
0
0
#CloudsMedia tunaunga na Mwanafamilia PENDO KYANDO (@pendo_engineyajiji) wa MBEYA kufuatia kifo cha Baba yake Mzazi NEWTON PAMBEYA KYANDO kilichotokea Alfajiri ya Leo katika hospitali ya TAIFA YA MUHIMBILI. Mipango ya Mazishi inafanyika DSM (MBEZI KWA YUSUF JIRANI NA KANISA LA SHIKA NENO) na JIJINI MBEYA. Mungu awatie nguvu familia hii katika nyakati hizi ngumu wanazozipitia, apumzike kwa amani mzee wetu NEWTON KYANDO 🙏🌐🙏 Poleni sana #Mara21
0
0
Dondosha comment yako hapa.
0
0
Kwako hii ni January au Njaanuary!? #PowerBreakfast
0
0
#HiliGame: Ronaldo Avunja Rekodi ya Pele ya Magoli. . . Wakati mwaka 2020 aliuanza kwa hat trick, Cristiano Ronaldo ameendeleza makali yake mbele ya goli kwa kufunga magoli mawili na kutoa assist 1 katika mchezo wa kwanza wa ligi ndani ya mwaka huu 2021 ambapo Juventus iilifunga Udinese 4-1. Kutokana na magoli hayo mawili, CR7 sasa ameifikia na kuivunja rekodi ya ‘Mchawi wa Soka’ @pele kwa kutimiza jumla ya magoli 758 kwenye mechi za mashindano rasmi. Cristiano sasa anahitaji magoli mawili mengine ili aweke rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote katika mashindano rasmi. Wachezaji wenye magoli mengi zaidi katika mechi za ushindani . 1. Josef Bican - 759. 2. Cristiano Ronaldo - 758. 3. Pelé - 757.
0
0
Watag washkaji zako ambao unawajua hizi adhabu zitawahusu 🤣 #PowerBreakfast
0
0
Sasa watoto wako likizo , je unawajengea utamaduni wa kufanya usafi nyumbani? Waswahili walituasa samaki mkunje angali mbichi. @nyumbanichoo #Nyumbanichoo
0
0
Tunaianza Jumatatu ya kwanza ya 2021 na kama kawaida #CloudsMedia itaendeleza jadi yake ya kukupa burudani makini kwa mwaka mzima. Tuambie leseni ya kukupa ladha kali za ngoma unamkabidhi nani? #KuwaUnachotakaMara21
0
0
Mtag unayemuona hapo kisha mwambia hajakosea kuja @kidimbwibeach Kwani Hennessy Sunday Session wamefanya balaa la kumleta @casspernyovest
0
0
Hennessy Sunday Session inanogeshwa na @casspernyovest muda huu hapa @kidimbwibeach ni wewe kujisogeza pande hizi kisha tukaifunga weekend.
0
0
Kazi yake ni kuhakikisha @kidimbwibeach nzima inaburudika na hilo kalitimiza kwa asilimia zote. @casspernyovest huyu hapa kwenye stage ya Hennessy Sunday Session.
0
0
Unampa alama ngapi kwa uchezaji wake? Mambo yote yapo @kidimbwibeach ni wewe kusogea pande hizi na kuendelea kupokea mwaka kwa namna ya tofauti.